Mfahamu NASHONI ALEX, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la MBEYA Parokia ya MBALIZI
Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: MBEYA
Parokia anayofanya utume: MBALIZI
Namba ya simu: 0617303327
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
NASHONI NI mwalimu wa kwaya ya Mt.Maria goreth kigango cha Nsalala parokia ya Mt.Stefano Mbalizi - Mbeya. Pia ni mwandishi wa nyimbo za kikatoliki.