Mfahamu Frt. Victor Lyimo, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Moshi Parokia ya Reha
Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Moshi
Parokia anayofanya utume: Reha
Namba ya simu: +255767133752
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Victor M. Lyimo (Victor B. Lucky) Ni Frater wa shirika la Mitume wa Yesu (Apostles of Jesus), Nairobi - Kenya
Safari na Ndoto za Muziki mtakatifu zilianza Mwaka 2018, kwa usaidizi wa Fr. Alderman Mtui AJ, ndani ya Seminary ndogo ya Mitume wa Yesu iliyopo Uru Moshi.
Masomo ya Utunzi wa muziki Mtakatifu na Falsafa niliyapatia ndani ya shirika la mitume wa Yesu, Nairobi - Kenya, kwa usaidizi wa Fr. Petri Assenga AJ.