Ingia / Jisajili

Alvinus Wafula

Mfahamu Alvinus Wafula, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Bungoma Parokia ya Mt. Leo Mkuu Kimilili

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Bungoma

Parokia anayofanya utume: Mt. Leo Mkuu Kimilili

Namba ya simu: 0704720475

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Ningependa kuchukua fursa hii kushukuru kwa dhati Familia yangu kwa kunipa nafasi ya kujiunga na Kwaya, pili, nimshukuru Mr. Paul Barasa, director wa Parokia yangu, kwa juhudi zako zisizo na kikomo katika kunifundisha muziki na kunilea katika kwaya. Umekuwa chanzo cha mafanikio yangu na unajua jinsi ilivyokuwa muhimu kwangu kujifunza kutoka kwako.

Kwa ushirikiano na kwaya yangu ya Mt. Yosefu Kamusinde, elimu yenu, na mioyo yenu ya kujitolea, mmenisaidia kuwa na ufanisi na kujivunia uwezo wangu wa muziki, Nanina hakika bila Mungu, singeweza kufikia hapa nilipo leo.

Shukrani nyingi kwa uwepo wenu maishani mwangu na kwa kunilea kwa upendo na uvumilivu.