Pakua Taarifa
Kamati ya Muziki Mtakatifu Taifa, imekamilisha marekebisho ya Misa nyingine sita kati ya ishirini zilizopendekezwa kuwa yaingizwe maneno sahihi kadiri ya tafsiri ya Misale ya Kiroma toleo la sasa.