Yesu Kristu Akalia

Mtunzi : Constantine A Ntanguligwa

Category : Kwaresma |

Uploaded Na : Constantine Ntanguligwa > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Salasala Parish, tarehe Feb 14, 2013

Umetazamwa mara 1,068

PDF imekuwa downloaded mara 303

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Kiitikio:

Yesu Kristu akalia kwa sauti kuu(II&III; nakusema), Baba,( baba mikononi mwako naiweka roho yangu,unipokee baba na uwasamehe)x2

Mashairi:

1.Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha,wakadhani anamwita Eliya,aje kumuokoa.

2.Wakamnywesha sifongo pia na siki na tuone kam Eliya atamtelemsha, wamdhihaki Bwana Yesu.

3.Baba wasamehe hawa,hawana makosa, hawajui walitendalo wao baba yangu,wasamehe makosa yao.

4.Yatimia yatimia,yaliyonenwa,yale yaliyonenwa na wale manabii,wokovu upate timia.

5.Kosa gani umefanya Ee Yesu,hata kujitoa sadaka malipo ya dhambi zangu,nipe neema nitubu hima.Mtunzi huyu ana nyimbo 8 SMN

Maoni

Maoni 0