Wewe Ni Mungu

Mtunzi : Bernard Mukasa

Category : Shukrani |

Uploaded Na : Bernard Mukasa > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Makuburi, tarehe Oct 21, 2012

Umetazamwa mara 12,889

PDF imekuwa downloaded mara 7,171

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Mtunzi huyu ana profile kwenye Swahili Music Notes

Mtunzi huyu ana nyimbo 174 SMN

Maoni

Maoni 18

Anna KIJOMOKO

Feb 12,2018

NAKUPONGEZA BERNARD NYIMBO ZAKO ZINAGUSA, MUNGU AKUBARIKI

Benard kipnyango

Jan 24,2018

God bless u so much like the song Wewe ni Mungu, naipenda Sana huwa naiskiza Kwenye channel ya kapuchini

Nancy Githu.

Jan 24,2018

Wimbo huu wa wewe ni Mungu.hunisisimua.namhisi Roho wa Mungu .asante kwa utunzi wako

goodluck

Jan 22,2018

hongera sana nyimbo zako nzuri

Julius Anari

Nov 19,2017

Am Julius Anari from kenya. 18year old and i have always been interested in this field. really like your songs currently am training my choir your songs i.e mimina neema and Wewe ni mungu. I have also tried composing some song but am still not an expert so may you cross check ob the pdf above for any mistakes please.I will appreciate .Thank you

Veronica Francis Buja

Oct 31,2017

nakupongeza mwalimu. Kiukweli upo vizuri, unakipaji cha utunzi cha kuwatakatifuza watu. Mungu akujalie uweze kuwatakatifuza watu zaidi

Zawadi Noel Mbilinyi

Sep 27,2017

Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu Mungu akubariki sana

Anthony Mtoni

Sep 13,2017

Wewe in mtunzi mzuri sana, na nyimbo zako ni nzuri hongera sana kaka na Mungu akubariki zaidi

Fred Mhiche

Aug 18,2017

Bernard, you always bring me closer to God through your songs. Your songs make me meditate deeply and deeply. I am graced to live in this era of your presence. Be blessed abundantly.

Peter Magnus

Jun 28,2017

Mungu Akutangulie Baba Mukasa Katka Utunzi Wako

john mathias vitta

Jun 10,2017

vizuri saana kwani sanaa inaboreka kutoka anaroid to digital ninaamin hata wagen wainje matajifunza taknolojia mpya ya uimbaji wa music upigaji wa vyombo namfumo wa sanaa

Pascal Johakim

Mar 04,2017

Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa bwana Bernard Mkasa kwa utunzi mzuri was nyimbo za injili Mungu azidi kukupa karama hiyo izidi kukua

mary

Feb 18,2017

hongereni mungu awabariki wimbo mzuri sana

Jeremiah Magembe

Dec 27,2016

hongera sana kwa kaz maridad ya kuinjlixha

joseph B halezya

Nov 18,2016

Nawapongezeni sana na mungu azidi kuwabariki na kuwaongezea maarifa

clara

Oct 21,2016

Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

julius Luswaga

Oct 21,2016

nawapongeza watunzi wote wa nyimbo za dini kwani mnafikisha injili kwa wengi kwa njia ya kuimba mungu awaongezee hakiba katika hazina zenu mbinguni

innocent bagoka

Oct 20,2016

nakupongeza kwa nyimbo Mungu azidi kukupa maarifa zaidi