Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Usiniache

Mtunzi: James Chusi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Chusi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: James Chusi

Umepakuliwa mara 876 | Umetazamwa mara 2,977

Download Nota
Maneno ya wimbo

Wewe Bwana Usiniache Mungu wangu usijitenge nami, Ufanye haraka kunisaidia Ee Bwana wa wokovu wangu

1. Wewe Bwana usiniache Mungu wangu usijitenge nami ufanye haraka kunisaidia

2. Nalisema nitazitunza njia zangu nisije nikakosa, nikakosa kwa ulimi wangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa