Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Usiniache

Mtunzi: Bukombe L
> Tazama Nyimbo nyingine za Bukombe L

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 7,017 | Umetazamwa mara 11,105

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wewe Bwana usiniache, Mungu wangu usijitenge nami x 2, Ufanye haraka kunisaidia ee Bwana wokovu wangu x 2.

Mashairi:

1. Ee Bwana usikie maombi yangu, utege sikio lako niliapo.

2. Kwa maana, mimi ni mgeni wako, msafiri kama Baba zangu wote.

3. Nalimngoja Bwana kwa saburi, akaniinamia akakisikia kilio changu.


Maoni - Toa Maoni

Toa Maoni yako hapa