Uipokee

Mtunzi : Melchior Basil Syote

Category : Sadaka / Matoleo |

Uploaded Na : Vusile Silonda > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 12,884

PDF imekuwa downloaded mara 5,820

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Uipokee sadaka, Ee Bwana Mungu tusikie, Bwana uipokee kwa wema, Ee Bwana Munguu wetu x 2 

  1. Twakutolea sadaka ya ibada yetu, ikupendeza zitupatie wokovu.
     
  2. Ee Bwana usikiliza sala zetu, tunazokutolea Bwana Mungu wetu.
     
  3. Ututakase kwa nguvu ya sadaka hii, natupate maondoleo ya dhambi zetu.
     
  4. Ni nani aliye Mungu ila wewe Bwana, na utukuzwe Mungu wa wokovu wetu

*MUHIMU: Mabadiliko yamefanyika kutoka kutumia neno "uzipokee" kwenda "uipokee", kwa kuwa sadaka inayotolewa kwenye ibada ya Misa takatifu ni moja tu.*Mtunzi huyu ana nyimbo 45 SMN

Maoni

Maoni 7

ADOLF SHUNDU

Feb 05,2018

Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

raymond augustino

Mar 18,2017

Naomba kupata wimbo kamili "uzipokee sadaka" na sio tune tu nimeutafuta sana huu wimbo bila mafanikio.

LUCAS MLINGI

Nov 14,2016

sorry sikutaja wimbo nilifikiri automatic unakuja ni Uzipokee ya Syote asante sana

LUCAS MLINGI

Nov 14,2016

Wimbo umenakiliwa kwa makosa maneno tu pale sauti ya tatu wanaposema sadaka zetu Bwana neno Bwana' lianze kwenye DO RE natumaini nimeeleweka

Mpinguhi

Jun 30,2016

nashukuru na kuwapongeza kwa utume mnaoufanya. maoni yangu ni kwamba ingependeza zaidi kama ikiwekwa link ambayo imezipanga nyimbo kadiri ya idadi ya watu wanaozitazama nyimbo hizo kwenye makundi yao(mf. sadaka, komunio...) asanteni

Moïse Kasisi

May 21,2016

Hiyi ni kazi nzuri sana.Juhudi na bidii kwa watungaji wa nyimbo hizi.

Hakuna Jina

Apr 21,2016

Jamani mngetuwekea na nyimbo kabisa ingependeza