Ingia / Jisajili

Siku Hii Ndiyo Aliyoifanya Bwana

Mtunzi: Abado Samwel
> Mfahamu Zaidi Abado Samwel
> Tazama Nyimbo nyingine za Abado Samwel

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Samwel Abado

Umepakuliwa mara 3,023 | Umetazamwa mara 8,254

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, tutaishangilia na kuifurahia x 2

  1. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.

  2. Israeli na aseme ya kwamba fadhili zake, ya kwamba fadhili zake ni za milele.

  3. Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa, mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.

  4. Sitakufa sitakufaaaaa bali nitasimulia, nitayasimulia matendo ya Bwana.

  5. Jiwe walilokataa waashi, limekuwa jiwe kuu jiwe kuu la pembeni.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa