Sadaka Yangu Ee Bwana

Mtunzi : Fr. Amadeus Kauki

Category : Sadaka / Matoleo |

Uploaded Na : Vusile Silonda > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Kola Capuchin Friary - Morogoro

Umetazamwa mara 10,129

PDF imekuwa downloaded mara 7,206

Wafahamishe wengine juu ya wimboMtunzi huyu ana nyimbo 40 SMN

Maoni

Maoni 7

SAJILO JULIUS MARK

Sep 13,2017

Napenda sana nyimbo zilizopo kwenye wavuti huu inatia moyo sana kwamba tuna wanamziki wengi Tanzania Mungu awabariki sana.

Bakari Simeon.

Aug 18,2017

Wimbo mzuri kuanzia melody mpaka Maneno yake. Abarikiwe sana mtunzi

Charles Nachipyangu

Aug 14,2017

Fr.Uko Juu,mtwara Yote Inalindima Kwa Wimbo Wako Huu.Msalimie Fr.Charles Nachinguru~wajina Na Ndugu Yangu.Asante Sana!

nicolaus shabate phd

May 02,2017

tumaini letu .............{...kristu...} nampongeza mtunzi wa wimbo huu pia namwombea kwa mwenyez mungu aendelee na utume maana anayeimba ni sawa umesali mara mbili pia wimbo huu nakumbukia wakati napata komnyo ya kwanza mwaka 2002 ktk parokia ya mt abate mungu amjalie maisha marefu kwa mawasiliano 0782791709/ 0767418456

Audrey Didas

Jan 13,2017

Wimbo ni mzuri sana ... Mungu akubariki Fr

Frateri Filipo Rao

Oct 19,2016

Nakupongeza kwa utunzi mzuri

Aureliano Masawe

Jun 19,2016

Naombeni mnisaidie kupata nota za wimbo huu