Ndipo Niliposema

Mtunzi : W. Kiwango

Category : Zaburi | Miito |

Uploaded Na : Thomas George Mwakimata > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Freiburg, Germany, tarehe Apr 06, 2008

Umetazamwa mara 1,653

PDF imekuwa downloaded mara 756

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Ndipo niliposema tazama nimekuja x 2 Tazama nimekuja kuyafanya mapenzi yako x 2.

Mashairi;

1. nalimngoja Bwana kwa saburi akaniinamia akakisikia kilio changu

2. Akatia wimbo mpya kinywani mwangu ndio sifa zake Mungu wetu.

3. Nimehubiri habari, habari za haki katika kusanyiko kubwa.

4. Sikuzuia midomo yangu Ee Bwana wewe unajua, wajua Bwana.Mtunzi huyu ana nyimbo 21 SMN

Maoni

Maoni 0