Ndipo Niliposema

Mtunzi : Dr. David S. Kacholi

Category : Zaburi |

Uploaded Na : David Kacholi > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Jan 09, 2009

Umetazamwa mara 1,708

PDF imekuwa downloaded mara 604

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Kiitikio: Ndipo niliposema, tazama nimekuja, tazama nimekuja, kuyafanya mapenzi mapenzi yako x 2.

 

Mashairi:

1. Nalimngoja Bwana kwa saburi, akaniinamia akakisikia kilio changu, akatia wimbo mpya kinywani mwangu, ndiyo sifa yake Mungu wetu.

2. Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo, masikio yangu umeyazibua, kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka, ndipo niliposema tazama nimekuja.

 

Mtunzi huyu ana profile kwenye Swahili Music Notes

Mtunzi huyu ana nyimbo 95 SMN

Maoni

Maoni 0