Ndipo Niliposema

Mtunzi : Ansert Mchefya

Category : Miito | Zaburi |

Uploaded Na : Thomas George Mwakimata > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dodoma-Miyuji - Kusini

Umetazamwa mara 1,444

PDF imekuwa downloaded mara 654

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

(Ndipo niliposema tazama Bwana nimekuja) x 2, (tazama nimekuja kuyafanya mapenzi) x 2

1. (a) Nalimngoja Bwanao, Bwana kwa saburi, akaniinamia akasikia kilio changu.

     (b) Akatia wimbo mpya kinywani mwangu ndio sifa zake, ndio sifa zake Mungu wetu.

2. (a) Dhabihu na matoleo, huku pendezwa nazo, masikio yangu umeyazibua.

     (b) Kafara na sadaka, za dhambi hukuzitaka, ndipo niliposema tazama nimekuja.

3. (a) Katika gombo la chuo, nimeandikiwa kuyafanya mapenzi yako.

      (b) Ee Mungu Mungu wangu, ndiyo furaha yangu, naamsheria yako imo moyoni mwangu.



Mtunzi huyu ana nyimbo 8 SMN

Maoni

Maoni 0