Nalisema Nitayakiri

Mtunzi : B. Mapalala

Category : Kwaresma |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Oysterbay, Dar es Salaam

Umetazamwa mara 7,393

PDF imekuwa downloaded mara 3,821

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana nawe Bwana ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu. x 2

  1. Heri aliye samehewa dhambi nakusitiriwa makosa heri bwana asiye muhesabia upotovu  ambaye rohoni mwake hamna hila.
     
  2. Ndiwe sitara yangu utanihifadhi na mateso utanizungusha, nyimbo za wokovu.
     
  3. Nalikujulisha dhambi yangu wala sikuficha upotovu wangu.


Mtunzi huyu ana nyimbo 3 SMN

Maoni

Maoni 7

joshua ndiema

Aug 01,2017

Wimbo nzuri sana bwana mapalala,heko pia kwa nyimbo zingine za mimina neema,nyimbo hii iko pahali pake

VICENT ALPHONCE

Jul 09,2017

binafisi huu unafundisha pia unatuhimiza tutubu dhambi zetu pia tuwe tuwe karibu na mungu wetu hongera mwalim mapalala mungu akusimamie amina

Denis James Kamwamu

Mar 09,2017

Wimbo mzuri sana. Mtunzi, kazi nzuri sana wimbo ulivyotungea na maneno yaliyotumika vimeendana sana na unasaidia kutafakari matendo yetu mbele za Muumba Wetu.

Kamwamu

Mar 09,2017

Wimbo mzuri sana. Mtunzi, kazi nzuri sana wimbo ulivyotungea na maneno yaliyotumika vimeendana sana na unasaidia kutafakari matendo yetu mbele za Muumba Wetu.

Flora Ngarondola

Mar 06,2017

Ni wimbo wenye kumwandaa mwanadamu katika tendo la unyenyekevu wakati wote wa maombi na ibada naupenda sana huu wimbo mtunzi barikiwa sana

Patrick Kimu

Feb 06,2017

Huu wimbo huwa unanifariji sana. Mungu na ambariki mtunzi ! Amina !

Joseph mhaya nyarobi

Oct 27,2016

Naupenda sana wimbo huu, unaniweka katika tafakari nzito. Hongera mwalimu mapalala