Mtu Hataishi Kwa Mkate

Mtunzi : John Mgandu

Category : Ekaristi / Komunio | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari |

Uploaded Na : Emmanuel Mwita > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Feb 28, 2165

Umetazamwa mara 1,763

PDF imekuwa downloaded mara 996

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

                        MTU HATAISHI KWA MKATE

(Mtu hataishi kwa mkate) Mtu hataishi kwa mkate kwa mkate peke yake;

Ila kwa kila neno litokalo kinywani mwa Mungu x2

1. Nawe uzishike amri za Bwana, upate kwenda katika njia zake Bwana.

2. Mkate washibisha mwili wako, Roho yako yashibishwa na Neno la Bwana.

3. Msihangaike na mambo ya dunia, lishike kwanza Neno la Bwana Mungu wako.

4. Neno lake Bwana likuongoze, ili uweze kupata uzima wa milele.Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 0