Mimina Neema

Mtunzi : Bernard Mukasa

Category : Mafundisho / Tafakari |

Uploaded Na : Bernard Mukasa > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Makuburi Dsm

Umetazamwa mara 35,861

PDF imekuwa downloaded mara 16,518

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Mtunzi huyu ana profile kwenye Swahili Music Notes

Mtunzi huyu ana nyimbo 174 SMN

Maoni

Maoni 56

Antony Patrick

Jan 16,2018

Kazi nzuri mwalimu, Mungu akubariki sana.

Kahindi-Misigah

Nov 13,2017

Mwalimu, Hongera kwa wimbo huu. Umenifariji sana.

Larry Paul

Oct 20,2017

kazi nzuri mwalimu sauti umezipanga vyema lakini nmependa alto zaidi,hongera.tamu saaaanaaa

George

Sep 04,2017

Hongera sana kaka kwa kazi nzuri sana.Tafadhari wakumbuke mashahidi wa Uganda kwa kutunga nyimbo zinazowakumbuka

ROBERT SIMONI

Aug 24,2017

kaka hongera sana nami nina ndoto za kuwa kama wewe ila bado sijaanza karibu kwetu kwaya ya mt yohane paulo wa pili parokia ya kristu mchungaji mwema

Victor Rono

Aug 08,2017

Hongera mwalimu, mungu akubariki

Odilon Cibanvunya Balundi

Aug 05,2017

Mungu akubariki sana

Files alizo-upload:
PAPA-GORETTE.jpg

MICHAEL NZUKI

Jul 26,2017

Hongera mwalimu, naupenda sana wimbo huu

Edward Fulgence

Jun 12,2017

Hakika Mungu ahimidiwe ni Neema kubwa kwetu wainjilishaji w wa hali ya Chini ambalo hatukijaliwa karanga ya utunzi tunaweza kupata nyimbo za misa kupitia ukurasa huu

Antipas Alfred

May 13,2017

Kaka B. Mukasa ukweli Mungu amekupa kipaji cha pekee Nyimbo zako zinatubariki wengi kwa kifupi ni nzuri na pia umeleta mabadiliko makubwa katika uimbaji kwa Nyimbo za kikatoliki. Mungu akupe maisha marefu ili uendeleze Huduma hii.

Andrea Mhongole

May 08,2017

Hongera Kaka Karibu Kwetu Parokia Ya Nyololo Utuletee Baraka Ujichotee Neema Tele Tunakuombea Endelea Kuokoa Roho Zetu Kwa Nyimbo Zenye Utukufu

Emmanuel Kis Emedo

Mar 03,2017

Kwa wimbo huu nimepata faraja, kweli hongera kaka.

Emmanuel Kis Emedo

Mar 03,2017

Kwa wimbo huu nimepata faraja, kweli hongera kaka.

Emmanuel Kis Emedo

Mar 03,2017

Kwa wimbo huu nimepata faraja, kweli hongera kaka.

Emmanuel Kis Emedo

Mar 03,2017

Kwa wimbo huu nimepata faraja, kweli hongera kaka.

Emmanuel Kis Emedo

Mar 03,2017

Kwa wimbo huu nimepata faraja, kweli hongera kaka.

Emmanuel Kis Emedo

Mar 03,2017

Kwa wimbo huu nimepata faraja, kweli hongera kaka.

Emmanuel Kis Emedo

Mar 03,2017

Kwa wimbo huu nimepata faraja, kweli hongera kaka.

Linus S Shallo

Feb 28,2017

Mimina wimbo mtamu sana hongera ndg Mukasa kwa kazi nzuri na nyingine ninazozifaham

linus Ngunda

Feb 10,2017

Nakupongeza sana kaka hakika nyimbo zako zinasisimua na hakuna asizikubali, naomba sana mwenyenzi mungu akulinde uendelee kukuza muziki wa dini katika kanisa letu. naamini mungu atakufikisha pale unapopataka. Unafuata nyayo za waasisi wetu akina marehemu John Mgandu na wezake.

Amedeus p munishi

Feb 01,2017

Mungu mimina wengine kama Bernard mukasa . nimeipenda waaaoooo IPO poa sana

DAUDI AMOSI MLOWEZI

Dec 27,2016

poa anko nami naitaji niwe kama wewe na sasa nipo najiandaa ,,,,karibu sana msia kwenye kwaya ya mt.sesilia ,,,,,tutembelee na sisi tufarijike

daudi amosi mlowezi

Dec 26,2016

aise tuombee na sisi tufikie kiwango chako

peter mrema

Dec 13,2016

kwa kweli mungu akubariki kwa utungaji wako ninapenda sana nyimbo unazotunga mungu akutangulie

timothy mbugua

Dec 07,2016

Mwalimu nyimbo zako no saw a sana... yani zinapendeza.

Donbosco

Dec 06,2016

Hongera sana mwalimu mungu akubariki

Gabriel

Nov 28,2016

Hongera kwa mtunzi kwa ustadi katika utunzi. Naomba wimbo huo urekebishwe kwenya staff ya sauti ya tatu na nne. Zile rest za full bar hazifai kula mahala pale. Asante.

costantine

Nov 08,2016

Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu hongera kaka mungu akuzidishie hekima nyingi sana Niko nyuma yako nakuja mt kizito juu

rodrick alfred

Nov 07,2016

Hongera Mwalimu kwa utunzi Wa nyimbo nzuri mwenyezi mungu akubariki.MAKUBURI juu zaidi

Mutie

Nov 02,2016

hongera mwalimu nyimbo zako zanigusa na kunifariji nafsi. mashairi yako ni mufti kabisa.

deusdedith kweka

Oct 28,2016

Hakika Mwenyezi Mungu amekubariki kwa kipaji cha utunzi kwani nyimbo zako kila zinapoimbwa hupendwa sana. Hongera sana kaka....ni imani yangu kuwa walimu wa muziki waliopita kwako wanafuata nyayo zako....kuna mwalimu namuona ana kasi Mr Mabogo wa JMC tunamuombea na wengine wote wafikie malengo yao

gregrory

Oct 23,2016

hongera ndg B. Mukasa yote na katika yote mwanadam aokoke na mungu atukuzwe amina.

Antidius Banyenzaki

Oct 20,2016

Nakupongeza mwl Benard mukasa kwakweli nyimbo zako zinanibariki saana,naomba pia mwl uniwekee wimbo mimina neema kwenye Whatsap nom.0754321467.namba ya ofice ya parokia Rwamishenye ambayo mimi naudumu kama mwl mkuu wa Shikwaka na mwl.wa St.JOSEPHINA BAKHTA.

lazaro sekwao

Sep 25,2016

Kwanza kabisa tumsifu Yesu kristo!! Aiseh mungu akuzidishie zaidi maana hii kazi imetisha sana kiufupi yaaani unanipa matumaini kwa kutamani kuwa kama wewe siku moja barikiwa sana kaka mukasa

sammy Ikua

Sep 20,2016

Hongera mwalimu Bernard, umetufunza mengi kupitia utunzi wako. Tunauenzi utunzi wako. U mfano mwema na ila siku twasoma kutoka kwako. Mungu akubariki kwa kazi yako nzuri

SEBASTIAN WALIPAMILA

Sep 17,2016

MUNGU AKUBARIKI SANA KARIBU IFUNDA IRINGA KWAYA YA MT,SECILIA IFUNDA.

SEBASTIAN WALIPAMILA

Sep 17,2016

Yaan mungu akubarki Mungu amimine mpaka kws mwanangu Anwarite,

james hadike

Sep 14,2016

sina neno juu ya huyu jamaaa salute kwako

Gasto mathew

Sep 12,2016

pongezi sana,kupitia uimbaji wenu nami nimehamasika kua mwanakwaya ,na sasa nimeshajifunza music wa nota,Jana nimenunua kinanda changu ili niweze kujifunza kinanda,

simon lm

Aug 24,2016

niungane na wenzangu.....am speechless,bravo sana

cassian mbele

Aug 24,2016

Hongera kaka na mungu akuzidishi pia nakuomba uje usaidie kuinua kwaya yangu has a kiuimbaji hapa Igunga tabora parokia ya bongomela

sylvester latama

Aug 21,2016

Pongezi sana mwalimu Bernard Mukasa, ama kweli utunzi wako umebobea. Huu wimbo unagusa, unafudisha unashauri, barikiwa sana kwa kazi hii nzuri.

Jodaki mchina

Aug 08,2016

Hongeraa kaka tupo nyuma tunajaribu kukufukuzia

Jodaki mchina

Aug 08,2016

Hongeraa kaka tupo nyuma tunajaribu kukufukuzia

Francisco

Aug 06,2016

Hongera bwana mkubwa wimbo huu umenigusa mpaka kwenye kilindi cha moyo. Ama kweli Roho wa Mungu alikuwa pamoja nawe katika utunzi wa wimbo huu,...dah barikiwa sana Mukasa

pius rocky manyangu

Jul 30,2016

Ukweli ni kwamba nyimbo hii br.mkasa imesimamia kucha tatizo wafundishaji ndipo shida hongera mkuu.pamoja sana kwa sasa nipo mwanza parokia ya nyakato.baada ya kutoka kmj.arusha misa ya kwanza.mungu yu nawe.

Francis CMM

Jul 27,2016

Nabarikiwa sana na kazi nzuri zisizo na kifani za Kaka B.Mukasa akishirikiana na timu yake hususani Wana wa Mt.Kizito katika kumtangaza Kristu. You are really the legendary of our ages!

Francis CMM

Jul 27,2016

Nabarikiwa sana na kazi nzuri zisizo na kifani za Kaka B.Mukasa akishirikiana na timu yake hususani Wana wa Mt.Kizito katika kumtangaza Kristu. You are really the legendary of our ages!

John Githuka

Jul 26,2016

Hongera sana kaka Mukasa. Wimbo huu umetisha !!

John Githuka

Jul 26,2016

Hongera sana kaka Mukasa. Wimbo huu umetisha !!

Sajilo Julius Mark Sj

Jul 25,2016

KWA kweli teacher you are so inspiring really for me this song is so nice and I feel blessed by listening it. In addition the song Wewe ni Mungu really it has touched my heart may God continue to give you more wisdom to compose more songs that really please God when they are sang and above all transform our hearts and pray by our hearts.

innocent Bagoka

Jul 23,2016

Mkuu huu wimbo sina chakusema zaidi yakukupongeza kwa tafakari hii Takatifu, Mungu azidi kukupa afya njema Neema bado tunazitarajia ziendelee kumiminika well done brothe

innocent Bagoka

Jul 23,2016

Mkuu huu wimbo sina chakusema zaidi yakukupongeza kwa tafakari hii Takatifu, Mungu azidi kukupa afya njema Neema bado tunazitarajia ziendelee kumiminika well done brothe

Dalmatius Dominick

Jul 22,2016

Bro..... hiyo ngoma ni sumuuuuuu yaanii imetishaa kuanzia audio mpk video aisee ni hatareeee hogera sana mkuu niombee na mimi cku moja nitengeneze amazing kama hyo

John Mremi

Jul 21,2016

Wimbo mzuri Sana, hongera mkuu

solomoni kevin

Jul 21,2016

hongera kaka kwa wimbo huu.