Ingia / Jisajili

Mimi Ni Wokovu Wa Watu

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 1,432 | Umetazamwa mara 3,834

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MIMI NI WOKOVU WA WATU

Bwana asema, Mimi ni wokovu wa watu,

wa kinililia katika taabu yoyote, nitawasiliza,

nami nitakuwa  Bwana wao milele

1. Waniaminio katika shida zao, nitawapa tulizo la milele.

2.Nami nitawapa tulizo la moyo, waniaminio katika shida


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa