Mbali Kule Nasikia

Mtunzi : Hajulikani

Category : Noeli |

Uploaded Na : Beatus Idama > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 7,494

PDF imekuwa downloaded mara 3,205

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

MBALI KULE NASIKIA (Angels we have on high)

1. Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni, wakiimba wengi pia wimbo huo juu angani

Kiitikio

Gloria in exclesis Deo, Gloria in excelsis Deo

2. Wachunga tuambieni sababu za nyimbo hizo, mwenye kui'mbiwa ni nani? Juu ya nani sifa hizo?...Kiitikio

3. Je hamjui jambo kuu la kuzaliwa Mwokozi, habari ya nyimbo hizo ni kumshukuru Mwenyezi...KiitikioMtunzi huyu ana nyimbo 28 SMN

Maoni

Maoni 1

maria

Dec 21,2016

mungu awabarikieeei