Lala Kitoto

Mtunzi : Credo Mbogoye

Category : Mafundisho / Tafakari | Noeli | Shukrani |

Uploaded Na : Thomas George Mwakimata > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Unga LMD Arusha, tarehe Jul 12, 2016

Umetazamwa mara 1,553

PDF imekuwa downloaded mara 799

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Lala Kitoto cha Mbingu, Lala Kitoto cha Mbingu x 2. Sinzia Kitoto sinzia Malaika wa Mungu watakutunzia ( Watakutunzia ) x 2.

Mashairi:

1. Lala Kitoto cha Mbingu sinzia Kitoto cha Mbingu, Lala Mwana wa Mungu

2. Maria naye Yosephu wanamtunza mtoto, Lala Mwana wa Mungu

3. Lala kitoto cha Mbingu uliye Mkombozi wetu, Lala Mwana wa Mungu

4. Lala kitoto cha Mbingu Masiha Mwokozi wetu, Lala Mwana wa Mungu Mtunzi huyu ana nyimbo 14 SMN

Maoni

Maoni 1

Vitalis Stone Lusasi

Dec 09,2017

Wimbo umetulia