Kabila Langu

Mtunzi : John Mgandu

Category : Juma Kuu |

Uploaded Na : Vitus Chigogolo > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar Es Salaam, tarehe Mar 11, 1984

Umetazamwa mara 2,482

PDF imekuwa downloaded mara 1,001

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Kabila langu nimekutendea nini au nimekusikitisha nini nini? Nijibu, nijibu, nijibu, nijibu.

1.       Kwa kuwa nimekutoa katika nchi ya Misri umemtayarishia mkombozi wako msalaba

2.       Kwa kuwa nimekuongoza kwa miaka arobaini, umemtayarishia mkombozi wako msalaba

3.       Ilinipasa kukutendea nini zaidi nisikutendee? Kweli nimekupenda kama shamba langu nzuri sana

4.       Mimi nimewapiga Wamisri kwa ajili yako nawe ukanitoa nipigwe mijeledi mijeledi

5.       Mimi nimekutoa Misri nikamtosa Farao katika bahari ya Shamu new ukanitoa kwa makuhani wakuu

6.       Mimi nimefunua bahari mbele yako nawe ukaufunua ubavu wangu kwa mkukiMtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 1

paschal mgalula

Mar 21,2017

nimeupenda sana wimbo mzuri napenda mda wote niwe nausikiliza