Kaa Nasi Bwana

Mtunzi : John Mgandu

Category : Pasaka |

Uploaded Na : Beatus Idama > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 3,558

PDF imekuwa downloaded mara 1,392

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Wanafunzi wawili wa Yesu (wa Yesu)
Walipokaribia Emaus (Emaus)

Yesu alifanya kama anataka kuendelea mbele, wakamshawishi, wakamshawishi wakisema:

Kaa pamoja nasi Bwana. (kaa),
Kaa pamoja nasi Bwana (kaa)
Kaa pamoja nasi Bwana kwa kuwa kumekuchwa na mchana umekwisha;

//:Akaingia ndani, akaingia ndani na kukaa nao, na kukaa nao://

//:(Nasi) Twende na Yesu aliyefufuka (maisha) maishani (mwote) tuishi naye Yesu, (wakristu):// Mwokozi.Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 0