Hawa Ndio Wale

Mtunzi : John Mgandu

Category : Zaburi |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Jun 06, 1983

Umetazamwa mara 951

PDF imekuwa downloaded mara 375

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Hawa ndio wale ambao walipoishi walipanda kanisa kwa damu yao x 2
Walikunywa kikombe cha Bwana, walikunywa kikombe cha Bwana walikunywa, wakawa rafiki zake Mungu x 2 Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 0