Furahi Yerusalemu

Mtunzi : John Mgandu

Category : Kwaresma |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Mar 21, 1990

Umetazamwa mara 2,995

PDF imekuwa downloaded mara 1,512

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Furahi Yerusalemu (furahi)x3 mshangilieni ninyi nyote mmpendao x 2

  1. Furahini, ninyi nyote mliao kwa ajili yake, mpate kunyonya, na kushibishwa maziwa ya faraja zake.
     
  2. Maana, Bwana asema, hivi tazama nitamwelekeza amani kama mto, na utukufu wa mataifa kama kijito kifurikacho, nanyi mtapata kunyonya.
     
  3. Mtabebwa, na juu ya magoti mta-bembelezwa. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 131 SMN

Maoni

Maoni 0