Enyi Watu wa Sayuni

Mtunzi : Joseph D. Mkomagu

Category : Majilio | Mwanzo |

Uploaded Na : Vusile Silonda > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 3,740

PDF imekuwa downloaded mara 1,591

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Enyi watu wa Sayuni, tazameni Bwana atakuja, tazameni Bwana atakuja kuwaokoa mataifa x 2
 

  1. (Soprano) Naye Bwana atawasikilizisha sauti yake ya utukufu katika furaha ya mioyo yenu.
     
  2. (Tenor) Masikio yako yatasikia neno nyuma yako likisema: Njia ni hii ifuateni


Mtunzi huyu ana nyimbo 37 SMN

Maoni

Maoni 1

James Ambali

Nov 28,2016

Pongezi sana kwenu watunzi kwa kazi nzuri ambazo mnasaidia taifa la Mungu kuweza kupata tafakari kupitia nyimbo hizo ambazo ninyi mnazitunga....Bwana awabariki muendelee kutunga nyimbo hizo zenye kufariji waliovunjika moyo na kuamini wapate kuendelea kuamini.....