Enyi Watu wa Sayuni

Mtunzi : Marcus Mtinga

Category : Majilio | Mwanzo |

Uploaded Na : Vusile Silonda > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 4,859

PDF imekuwa downloaded mara 2,489

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Enyi watu wa Sayuni tazameni Bwana anakuja, tazameni Bwana ankuja kuwaokoa mataifa x 2
 

  1. Naye Bwana atawasikizisha sauti yake, sauti ya utukufu katika furaha ya mioyo yao.
     
  2. Nanyi sasa hamtalia tena, sauti ya kilio chenu asikiapo ndipo atajibu.
     
  3. Mtaimba wimbo mzuri wakati wa usiku, mtakuwa na furaha ya moyo katika mlima wa Bwana. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 23 SMN

Maoni

Maoni 2

Andre shabani

Dec 06,2017

Pongeza,

Andre shabani

Dec 06,2017

Pongeza,