Ingia / Jisajili

Enyi Mumtafutao Mungu

Mtunzi: Emmanuel Sebastian
> Mfahamu Zaidi Emmanuel Sebastian
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Sebastian

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Emmanuel Sebastian

Umepakuliwa mara 2,339 | Umetazamwa mara 4,353

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Enyi Mumtafutao Mungu,

(mioyo yenu ihuishwe, Mioyo yenu Ihuishwe ) X2

Mashairi:

1. Nami maombi yangu nakuomba wewe Bwana, kwa wingi wa fadhili zako Bwana unijibu

2. Nami niliye maskini na mtu wa huzuni, Mungu wokovu,wokovu wako utaniinua

3. Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, Nami nitamtukuza kwa shukrani


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa