Enendeni Duniani Kote

Mtunzi : John Mgandu

Category : Miito |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Tabora, tarehe Aug 22, 1992

Umetazamwa mara 2,165

PDF imekuwa downloaded mara 762

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Enendeni duniani kote, enendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu x 2
Fundisheni kuyashika yote niliyowaamuru ninyi, aaminiye na kubatizwa ataokoka x 2

  1. Enyi mataifa yote msifuni Bwana, enyi watu wote mhimidini.
     
  2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, na uaminifu wa Bwana ni wa milele. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 129 SMN

Maoni

Maoni 0