Ee Mungu Wangu Mfalme

Mtunzi : John Mgandu

Category : Zaburi |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Oct 25, 1986

Umetazamwa mara 2,644

PDF imekuwa downloaded mara 1,239

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Ee Mungu wangu mfalme nitakutukuza, nitalihimidi jina lako milele x 2

  1. Kila siku nitakuhimidi ee Mungu wangu, nitalisifu jina lako milele na milele.
     
  2. Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 131 SMN

Maoni

Maoni 1

Eleuter Massawe

Oct 24,2016

Ninakupongeza admin kwa kazi hii kubwa Mungu akubariki mpaka ushangae