Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unifadhili

Mtunzi: John Sway
> Mfahamu Zaidi John Sway
> Tazama Nyimbo nyingine za John Sway

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 2,513 | Umetazamwa mara 6,524

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana unifadhili, Maana nakulilia (Bwana), Maana nakulilia Bwana (Bwana) nakulilia wewe mchana kutwa x2:

Mashairi:

1. Kwa maana wewe Bwana umekuwa tayari umekuwa tayari kusamehe.

2. Na mwingi wa fadhili kwa watu wako wote watu wako wanaokuita.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa