Ee Bwana Nimekuita

Mtunzi : John Mgandu

Category : Zaburi |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Oct 12, 1988

Umetazamwa mara 2,576

PDF imekuwa downloaded mara 1,331

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Ee Bwana, ee Bwana nimekuita kwa maana utaitika
Utege sikio lako utege sikio lako usikie neno neno langu x 2
 

  1. Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.
     
  2. Dhihirisha fadhili zako, fadhili zako za ajabu, wewe uwaokoaye wanao kukimbilia.


 Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 0