Ee Bwana Fadhili Zako

Mtunzi : John Mgandu

Category : Zaburi |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Mar 06, 1990

Umetazamwa mara 5,530

PDF imekuwa downloaded mara 2,738

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Ee Bwana, ee Bwana fadhili zako zikae nasi x 2
Kama vile tulivyokungoja wewe Bwana, kungoja wewe Bwana wewe Bwana x 2

  1. Kwa kuwa neno la Bwana, neno la Bwana ni la adili, na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
     
  2. Hupenda haki na hukumu, hupenda haki na hukumu, nchi imejaa fadhili za Bwana.
     
  3. Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao, wazingojeao fadhili, fadhili zake.
     
  4. Yeye huwaponya nafsi zao, na mauti na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 0