Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Mtunzi : John Mgandu

Category : Zaburi |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Mar 21, 1990

Umetazamwa mara 9,787

PDF imekuwa downloaded mara 4,186

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Bwana ndiye mchungaji wangu, Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa, sitapungukiwa na kitu sitapungukiwa na kitu x 2
 

  1. Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu, katika malisho ya majani mabichi hunilaza kando ya maji ya utulivu huniongoza.
     
  2. Hunihuisha nafsi yangu, na kuniongoza, katika njia za haki kwa ajili ya jina lake nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 2

nicolaus shabate

Dec 28,2016

hongera sana mtunzi

nicholaus shabate

Dec 28,2016

wimbo huu inatufundisha kuwa tumtegemee mungu kwa kila jambo maana yeye ndiyo anatulinda ,