Bwana mfalme

Mtunzi : John Mgandu

Category : Kristu Mfalme |

Uploaded Na : Vusile Silonda > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 5,074

PDF imekuwa downloaded mara 2,548

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

NA J. MGANDU

 

Bwana Mfalme ameketi milele, (Bwana) atawabariki watu kwa amani x2

 

1. Atawala duniani na mbinguni toka mto hata kingo za dunia

 

2. Na wafalme wote wata mwabudia, mataifa yote yatamtumikia

 

3. Utawala utawala wa milele ni ufalme wenye kudumu milele

 Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 0