Bwana Atawabariki

Mtunzi : Felix Mbuya

Category : Noeli | Ubatizo |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Sanya Juu, tarehe Jan 08, 1994

Umetazamwa mara 1,548

PDF imekuwa downloaded mara 591

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Kiitikio:

Bwana atawabariki watu wake kwa amani (amani) Bwana atawabariki watu wake kwa amani x 2

Mashairi:

 1. Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu, Mpeni Bwana utukufu wa jina lake.
   
 2. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu/ kwa kuwa Bwana atawabariki watu wake kwa amani.
   
 3. Sauti ya Bwana i juu ya maji mengi/Sauti ya Bwana ina nguvu na pia ina adhama.
   
 4. Sauti ya Bwana yawasawazisha ayala/ na ndani ya hekalu wanasema wote utukufu.
   
 5. Bwana aliketi juu ya gharika / Bwana ameketi hali ya Mfalme milele.


Mtunzi huyu ana nyimbo 1 SMN

Maoni

Maoni 0