Bwana Atawabariki by Felix Mbuya

    Home > Noeli > Bwana Atawabariki    

Je unatafuta wimbo? > Request a song here


Je wimbo huu una makosa? Report This Song

Maneno ya Bwana Atawabariki.

Kiitikio:

Bwana atawabariki watu wake kwa amani (amani) Bwana atawabariki watu wake kwa amani x 2

Mashairi:

 1. Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu, Mpeni Bwana utukufu wa jina lake.
   
 2. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu/ kwa kuwa Bwana atawabariki watu wake kwa amani.
   
 3. Sauti ya Bwana i juu ya maji mengi/Sauti ya Bwana ina nguvu na pia ina adhama.
   
 4. Sauti ya Bwana yawasawazisha ayala/ na ndani ya hekalu wanasema wote utukufu.
   
 5. Bwana aliketi juu ya gharika / Bwana ameketi hali ya Mfalme milele.
Nota za Bwana Atawabariki


Mtunzi: Felix Mbuya

Umetungwa: 08-01-1994

Mahali: Sanya Juu

Categories: Noeli, Ubatizo

Uploaded by Yudathadei Chitopela

Weka kwenye My Favorites

MIDI ni sauti (mlio wa wimbo). Ili ku-download midi, Right Click > Download Midi Kisha Chagua "Save Link As" or "Save Target As".
Nota za Bwana Atawabariki