Ingia / Jisajili

Bwana Ameufunua Wokovu Wake

Mtunzi: James Chusi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Chusi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: James Chusi

Umepakuliwa mara 2,001 | Umetazamwa mara 4,840

Download Nota
Maneno ya wimbo

Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake

1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya,

    Kwa maana ametenda mambo ya ajabu

    Mkono wa kuume wake Mwenyewe,

    Mkono wake mtakatifu umetenda wokovu

2. Bwana ameufunua wokovu wake,

    Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake

3.Miisho yote ya dunia imeuona,

   Wokovu wa Mungu wetu,

   Mshangilieni Bwana, Nchi yote,

   Inueni sauti, imbeni kwa furaha.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa