Bwana Amefufuka

Mtunzi : John Mgandu

Category : Pasaka |

Uploaded Na : Eusebius Joseph Mikongoti > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar Es Salaam, tarehe Sep 14, 1983

Umetazamwa mara 1,442

PDF imekuwa downloaded mara 682

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Kiitikio:

Bwana amefufuka (Alelu-ya) aleluya aleluya, Bwana amefufu-ka alelu-ya aleluya x2

Mashairi:

1. Enyi watu wote, furahini wote,

    Kristu kafufuka kweli ni mzima

2. Kamshinda adui, adui shetani;
    Ametuletea wokovu milele.
 
3. Kristu alisema, alisema kweli;
    "Kisha siku tatu nitafufuka"


Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 0