Bwana aliniambia

Mtunzi : John Mgandu

Category : Noeli |

Uploaded Na : Vusile Silonda > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa tarehe Jun 08, 1983

Umetazamwa mara 3,446

PDF imekuwa downloaded mara 1,639

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Bwana aliniambia, ndiwe mwanangu, mimi leo nimekuzaa leo, nimekuzaa leo x 2

  1. Wafalme wa dunia wanajipanga na wakuu, wanafanya shauri pamoja juu ya Masiha wake.
     
  2. Yeye anayeketi huko mbinguni anacheka, naye Bwana anawafanyia dhihaka hao wafalme.
     
  3. Bwana aliniambia ndiwe mwana wangu, mimi nimekuzaa leo, nimekuzaa leo.
     
  4. Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo, sasa na siku zote milele amina.


Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 0