Ataniita

Mtunzi : John Mgandu

Category : Zaburi |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Jan 17, 1985

Umetazamwa mara 1,819

PDF imekuwa downloaded mara 933

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Ataniita nami nitamwitikia, nitamwokoa na kumtukuza, kwa siku nyingi nitamshibisha x 2

  1. Uniangalie na kunifadhili, maana mimi ni mkiwa na mteswa.
     
  2. Utazame teso langu na taabu yangu, unisamehe dhambi zangu zote, Ee Mungu. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 129 SMN

Maoni

Maoni 0