Ataniita

Mtunzi : Fr. Gregory F. Kayeta

Category : Kwaresma | Mwanzo |

Uploaded Na : Vusile Silonda > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 4,912

PDF imekuwa downloaded mara 2,395

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Kiitikio:

Ataniita nami nitamwitikia, nitamwokoa, na kumtukuza x 2

Mashairi:

1. Nitakuwa naye taabuni / nitamwokoa na kumtukuza

 

2. Kwa siku nyingi nitamshibisha / Nami nitamwonyesha wokovu wangu.
 
3. Kwa kuwa amekaza kunipenda / Nitamwokoa; na kumweka mahali palipo juu.
 
4. Kwa kuwa amenijua jina langu / Ataniita nami nitamwitikia.


Mtunzi huyu ana nyimbo 31 SMN

Maoni

Maoni 0