Aleluya Kuu

Mtunzi : George F. Handel

Category : Pasaka |

Uploaded Na : Innocent Chaula > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 20,091

PDF imekuwa downloaded mara 8,000

Wafahamishe wengine juu ya wimboMtunzi huyu ana nyimbo 34 SMN

Maoni

Maoni 11

Yudathadei vedasto

Dec 03,2017

Kazi nzuri

Guillaume

Oct 09,2017

Kazi njema

Eliya Shimba

Apr 22,2017

Kazi Nzuri

Felister

Apr 02,2017

Naipenda sana aleluya kuu

salome

Mar 07,2017

nauombea utume wa uimbaji use mwema na upate kibali mbele za USO wa mungu

nibigiraem@yahoo.fr

Oct 16,2016

napongeza sana wanamuziki wa nyimbo za Kanisa Tanzania wanatushirikisha kusali mara mbili

alex mponzi

Oct 10,2016

Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Alfayo

Sep 04,2016

Hongera kwa aliye uweka lakin naona pale mwanzon Bar ya pili kwa upande wa sauti ya tatu..nkisikiliza kwaya baadhi hasa za kijeruman nasikia wanaimba nota ***do..do soso*** lkn hapo kwenenye sheet naona imeandikwa ***do..So soso** sasa sijui hapo ipi ni sahihi zaidi

Gregory Mduda

Aug 12,2016

Hongera, lakini natafuta huu wimbo siupati.

michael

Jun 04,2016

amejitahid kiasi cha uwezo wake