Aleluya Kristu Amefufuka

Mtunzi : John Mgandu

Category : Pasaka |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Jan 12, 1982

Umetazamwa mara 2,250

PDF imekuwa downloaded mara 914

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Aleluya Aleluya Kristu amefufuka kweli Bwana wetu ni mzima x 2
Twimbe aleluya twimbe aleluya kweli Kristu amefufuka kweli Bwana wetu ni mzima x 2

 1. Hata siku ya kwanza, Maria Magdalena alikwenda kaburini akaona liko wazi.
   
 2. Basi akakimbia, akafika kwa Simoni na kwa yule mwanafunzi aliyempenda Yesu.
   
 3. Na akawaambia, Bwana wamemwomboa wala hatujui kule walikomweka Bwana.
   
 4. Yesu alipokuja, kasimama kati yao akawaambia wote amani iwe kwenu.
   
 5. Nao wakashituka, na wakaogopa sana wakidhani ya kwamba wamemwona Bwana.
   
 6. Mbona mwafadhaika kwanini mwaona shaka tazameni miguu yangu tazameni mikono yangu. 


Mtunzi huyu ana nyimbo 129 SMN

Maoni

Maoni 0