Aleluya

Mtunzi : John Mgandu

Category : Misa |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Dar es Salaam, tarehe Jul 04, 1989

Umetazamwa mara 5,153

PDF imekuwa downloaded mara 2,157

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

JOHN MGANDU

4.7.1989

DSM

 

Aleluya aleluya aleluya aleluya x 2

Aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya x 2

 

Ewe Baba wa Bwana wetu Yesu Kristu, Yesu Kristu uyatie nuru macho ya mioyo yetu, ili tujue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo.Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 1

Stanslaus Salvatory

May 22,2016

kazi hii imesaidia sana kwenda sambamba na litrujia yetu. Bwana awe nany..