Aleluya Bwana Amefufuka

Mtunzi : John Mgandu

Category : Pasaka |

Uploaded Na : Yudathadei Chitopela > Mfahamu zaidi

Weka wimbo kwenye favorites

Umetazamwa mara 4,499

PDF imekuwa downloaded mara 1,960

Wafahamishe wengine juu ya wimbo

Aleluya Aleluya Bwana amefufuka kweli amefufuka x2
Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Bwana amefufuka (amefufuka) Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya x2

  1. Utukufu wake pia ukuu unayeye Bwana milele, milele.
     
  2. Mshukruni Bwana kwakuwa ni mwema, kwani fadhili zake ni za milele.
     
  3. Pokeeni furaha ya utukufu, kwani Mungu amewaita Mbinguni.


Mtunzi huyu ana nyimbo 133 SMN

Maoni

Maoni 2

kanogu Boniphace kanogu

Oct 17,2016

nawapongeza wote wanaotuma nyimbo humu

kanogu Boniphace kanogu

Oct 17,2016

nawapongeza wote wanaotuma nyimbo humu