Mwl. Annord Mwapinga

Idadi ya Nyimbo SMN: 98

Jimbo: Moshi

Namba ya Simu: 0753121410 /0713038329

Wafahamishe wengine juu ya mtunzi huyu

Kwa sasa ni mwl. wa kwaya za kanisa katoliki Mwenge  - Longuo (Moshi) Kanisa hili ni Kigango teule si parokia na hakina parokia

Nilianza utume wa uimbaji mwaka 1994 katika kwaya ya UVIKANJO iliyopo kigango cha Lusitu Parokia ya Luhororo jimbo la Njombe. Kwaya iliyo niimarisha zaidi kiuimbaji ni kwaya ya Mt. Agustino ya kanisa la Mwenge.

Pia ni Mkufunzi msaidizi Idara ya Hisabati katika chuo kikuu cha Kikatoliki Mwenge (MOSHI)

Namba ya Simu: 0753121410 /0713038329

Mtumie Email Mtunzi