Alfred Ogombo

Idadi ya Nyimbo SMN: 99

Jimbo: Military Ordinariate of Kenya

Parokia: Holy Rosary, Embakasi Garrison - Nairobi

Namba ya Simu: +254723732338 / +254777732338

Wafahamishe wengine juu ya mtunzi huyu

Tumsifu Yesu Kristu.. Kwa wakati huu natumia nambari ya simu +249968385496 kwenye mawasiliano ya whatsapp.. Aidha, nambari yangu ya kawaida iliopo kwenye pieces zangu za muziki naitumia kwenye voicecall + ujumbe fupi.. Asante..

‘Nitamwimbia Bwana maisha yangu yote, nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi’  Zab 104: 33

‘Ee Bwana, nitakusifu katikati ya mataifa, nitaimba sifa zako katikati ya mataifa’ Zab 108: 3

‘Tazama jinsi ilivyo vyema kumwimbia Mungu wetu sifa, jinsi inavyopendeza na kustahili kumsifu Yeye’ Zab 147: 1..

Kwa kuimba vizuri tumsifu Yesu kristu..

Namba ya Simu: +254723732338 / +254777732338

Mtumie Email Mtunzi