Alfonce Innocent Haule

Idadi ya Nyimbo SMN: 1

Jimbo: Mbulu

Parokia: Magugu

Namba ya Simu: 0784395950

Wafahamishe wengine juu ya mtunzi huyu

Nilizaliwa Mwaka 1968 Mkoani Kilimanjaro, Nimesoma shule za; Moshi Primary (Elimu ya Msingi), Uru Seminary (Elimu ya sekondari), MATI - UKIRIGURU; Mwanza & LITI - MPWAPWA; Dodoma (Cheti cha Kilimo na Mifugo), LITI - TENGERU; Arusha. (Diploma ya Afya na tiba ya Mifugo), na SUA - Morogoro (BSc. na MSc. Sayansi ya Mifugo).

Nilipata Elimu ya Mziki nikiwa nasoma katika Seminary ya shirika la Mitume wa Yesu (Apostles of Jesus) Uru - Moshi.

Nimeimba kwaya za Mt. Josefu Mfanyakazi Parokia ya Magugu, Babati, Mt. Josefu Mfanyakazi St. Theresia Cathedral (Arusha), Mt. Gregory Mkuu Parokia ya MODECO - Morogoro na Kwaya ya Mt. Cesilia St. Patrice Cathedral.

Ninafanya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Babati kama Afisa Ugani Mifugo wa Wilaya.

Nimeoa na nina watoto 4 (Innocent, Anagift, Gladness na Glory)

Mungu aendelee kutuwezesha katika kazi ya Kumtumikia. AMINA.

Namba ya Simu: 0784395950

Mtumie Email Mtunzi