Je Wewe Ni Mtunzi?

Je wewe ni mtunzi? Na jina lako liko kwenye ukurasa huu > http://www.swahilimusicnotes.com/piano/composers 

Basi, kama jibu ni ndio, nitumie yafuatayo:

  • Email Address Yako
  • Namba yako ya Simu
  • Picha (Kama Utapenda)
  • Maelezo juu yako
  • Parokia Unayotoka
  • Jimbo Unalotoka 

Maelezo haya yatasaidia kufahamu upo wapi na watu wataweza kuwasiliana na wewe kirahisi. Lakini pia, itasaidia pale mtu atakapo-upload wimbo uliotungwa na wewe, mara moja utataarifiwa, na utakuwa na nafasi ya kuukagua wimbo wako kama uko sahihi. 

Mfano wa jinsi taarifa zako zitakavyooneshwa ni > http://www.swahilimusicnotes.com/piano/composer/terence-vusile-silonda