Swahili Music Notes Blog

Taarifa mbalimbali

Mabadiliko ya Swahili Music Notes

Swahili Music Notes imepata mabadiliko kadhaa.  Admin wetu, amekuwa katika mchakato wa mabadiliko haya kwa muda mrefu sana, kusema ukweli, muda mrefu kupita kiasi. Hii ni kutokana na changamoto mbalimbali alizozipata admin katika kufanya ya kazi hii. Matokeo yake, shughuli mbalimbali za...

See More

Nyimbo ninazopenda (My Favorite Songs)

Leo nimekuwa inspired na wimbo wa “Lukando Andrew Basil” unaoitwa “Tuimbe Bwana Amejifufua”. Nimeupenda wimbo huu, na ningependa sana kwaya yetu iimbe wimbo huu. Lakini, nilikumbana na changamoto moja. Wimbo huu ni wa Pasaka, na utahitajika mwakani kati ya mwezi wa pili...

See More

Namna ya Ku-Upload na Ku-Edit Nyimbo kwenye Swahili Music Notes

Watu wengi wanapenda kuchangia Swahili Music Notes kwa ku-upload nyimbo. Muongozo huu ni kuwasaidia wale ambao hawajaweza ku-upload nyimbo bado:   Kwanza kabisa, kabla ya ku-upload nyimbo, ni vyema kuzichora vizuri kwa kutumia software mbalimbali za kuchorea nyimbo ambazo zipo....

See More

Tenzi za Kiswahili

Na Ronald Nakaka:  Ndugu Terence Vusile Silonda na mimi tulijadili wazo moja ambalo tuliona ni muhimu kuliwasilisha kwenu watumishi. Tuliona ni vyema tuakaanzisha kwenye Swahilimusicnotes.com (SMN) category mpya ya "Swahili Hymns" au "Tenzi za Kiswahili",...

See More

Sura za Swahili Music Notes nchini Tanzania

Swahili Music Notes inakutakia Heri na Fanaka za Mwaka mpya. Katika kusherehekea mwaka mpya, karibu uone baadhi ya Wadau wa Swahili Music Notes, walionunua tshirt, na kupenda kutushirikisha sisi wengine. Tazama wanavyofurahia hapo chini :)

See More

Nafasi na Kazi ya Conductor by Richard Mloka [Sehemu ya Nne]

Inaendelea... Kama haujasoma sehemu ya kwanza, tafadhali bofya hapa > http://www.swahilimusicnotes.com/page/nafasi-na-kazi-ya-conductor-by-richard-mloka Kama haujasoma sehemu ya pili, tafadhali bofya hapa...

See More

Nafasi na Kazi ya Conductor by Richard Mloka [Sehemu ya Tatu]

Inaendelea... Kama haujasoma sehemu ya kwanza, tafadhali bofya hapa > http://www.swahilimusicnotes.com/page/nafasi-na-kazi-ya-conductor-by-richard-mloka Kama haujasoma sehemu ya pili, tafadhali bofya hapa...

See More

As a group (of singers), you are as strong as the weakest singer by Deo Mhumbira

KAZI KWENU WALIMU: "As a group (of singers), you are as strong as the weakest singer" Walimu wengi wanashawishika kuwakazania waimbaji ambao wanafanya vizuri zaidi, wakidhani kikundi kinaimarika zaidi kwa hilo. Kinyume chake, wale walio dhaifu wanazidi kuwa dhaifu zaidi, na hivyo...

See More

Nafasi na Kazi ya Conductor by Richard Mloka [Sehemu ya Pili]

Inaendelea... Kama haujasoma sehemu ya kwanza, tafadhali bofya hapa > http://www.swahilimusicnotes.com/page/nafasi-na-kazi-ya-conductor-by-richard-mloka Katika Sehemu ya Kwanza, nimejaribu kutaja wajibu wa conductor, ni vizuri hapa sasa niingie ndani kidogo kuangalia namna atakavyoweza...

See More

Nafasi na Kazi ya Conductor by Richard Mloka [Sehemu ya Kwanza]

TUJADILI KWA UFUPI NAFASI NA KAZI YA CONDUCTOR Awali naomba niwatake radhi kwa kuendelea kutumia neno ‘conductor’ mpaka sasa nimeshindwa kupata tafsiri yake kwa Kiswahili. Najua wengine wanamwita ‘mpimishaji’ na wengine’ mwongozaji’ au...

See More

Swahili Music Notes yafikisha Nyimbo 2,000

Swahili Music Notes ilizaliwa tarehe 1 Disemba, 2011 na nyimbo takribani 5 hivi. Ilifikisha nyimbo 100 tarehe 9 January, 2012.  Ilipofika tarehe 21 Juni, 2012 (Siku ya Muziki duniani) tulifikisha nyimbo 500. Nyimbo 1,000 zilifikiwa tarehe 26, Septemba 2012. Na leo hii tunasherehekea nyimbo...

See More

Search Yaboreshwa

Tumeiprove search ya Swahili Music Notes. Bado ipo katika kuboreshwa, ila imepiga hatua sana. Angalia video ifuatayo il kujua zaidi.  

See More

Reporting an Error in a Song

Kwa nia ya kuhakikisha nyimbo zinazoingia Swahili Music Notes zinakuwa katika ubora unaofaa, nimeona ni bora kuwe na njia bora ya kutoa taarifa iwapo wimbo utakuwa na makosa. Kama utaona wimbo wenye makosa, basi utaclick wenye link inayosema "Report Song", kama invyoonekana kwenye picha...

See More

Changes to Swahili Music Notes

There are some changes to Swahili Music Notes. Video hizi zinaelezea mabadiliko haya. Video ya Kwanza inaelezea mabadiliko kwenye Front End:     Video hii ya pili inaelezea mabadiliko ya Backend, na jinsi ya ku-upload nyimbo:    

See More

Do you own a Music Studio, Group or Music School?

Do you own a Music Studio, Music Group or a Music School? If any of the following answers is correct, then you can benefit from Swahili Music Notes.     Visit our Directory and you'll learn more. You will see that we still don't have any schools, music...

See More

Namna ya Kujiunga na Kundi la Fr. Kayeta

Nimepokea maswali wengi juu ya kujiunga na kundi la Fr. G. Kayeta. Natumaini maelezo haya yatasaidia wengi.KAMA UPO FACEBOOK: Login kwenye account yako ya Facebook kwa kwenda www.facebook.com Juu kabisa, kwenye sehemu ya "Search", Andika > Fr. G.F. Kayeta Click kwenye "result" ya kwanza ya...

See More

Je Wewe Ni Mtunzi?

Je wewe ni mtunzi? Na jina lako liko kwenye ukurasa huu > http://www.swahilimusicnotes.com/piano/composers Basi, kama jibu ni ndio, nitumie yafuatayo: Email Address Yako Namba yako ya Simu Picha (Kama Utapenda) Maelezo juu yako Parokia Unayotoka Jimbo Unalotoka  Maelezo...

See More

The New Directory

Ninafurahi sana ninapopata changamoto kutoka kwa baadhi ya watumizi wa Website ya Swahili Music Notes. Mawazo yao huwa yananifanya niongeze juhudi zaidi katika kuboresha chombo hichi.Changamoto ya hivi karibuni imetoka kwa Mratibu wa Kapotive Singers, Ndugu Andrew Kagya. Yeye alipendekeza tuwe na...

See More

Guide to New Upload System

Hello uploader,Kutokana na mabadiliko kwenye site yetu, ni lazima utambue kuwa utaratibu wa ku-upload nyimbo umebadilika kidogo.Kwanza kabisa, utaona kuwa 'mtunzi' anaweza kuchaguliwa kutoka kwenye orodha ya watunzi ambao nyimbo zao zimo tayari kwenye Swahili Music Notes.Ikiwa mtunzi ni mpya, ni...

See More

New Feature: Tanzanian Composers

Hahahaha, this was an interesting fix. Na kama wewe ni mdadisi utakuwa umeshagundua mabadiliko ambayo yamefanywa kwenye site. Wazo hili nilikuwa nalo tangia awalli, ila uvivu na ukosefu wa data za kutosha vilinifanya nisiifanye mapema. Wazo hili liibuliwa upya na Bwana Beatus Idama, ambaye...

See More

The Power of the Swahili Music Notes Dashboard

Wengi wenu hamjatambua bado uwezo wa Swahili Music Notes Dashboard. Nachukua nafasi hii leo kuwaelimisha japo kidogo kuhusu Dashboard. Hii ni kwa faida kwa wanaopanga ku-upload nyimbo na walioupload nyimbo hapo awali. Mambo unayoweza kufanya kwenye dashboard:1. Una uwezo wa kuona nyimbo zote...

See More

Je, nyimbo zako haziwi reviewed?

Kama wewe ni mmoja wa watu wanao-upload nyimbo mara kwa mara, basi walau mara moja au mbili au zaidi, umeona Admin haku-review nyimbo zako.Kuna sababu mbili kuu za kutoreview:  Wimbo umo tayari kwenye Swahili Music Notes. Wimbo haujafikia kiwango cha ubora kuwa kwenye site. Sababu ya...

See More

Benefits of Lyrics

So, I've been asking people to include lyrics on the songs that they uploaded. I've even helped some of you to include the lyrics. Today, I'm going to show you the benefits of doing so by using two examples:Ukisearch wimbo wa Ndiyo Mkate wa Malaika, ambao una lyrics, utapata kama ifuatavyo. Maneno...

See More

If you still can't play midi

If you followed the directions in the previous post, but you still can't play midi files, then you probably don't have java installed on your computer.To download Java go to this link > http://java.com/en/download/After you download Java, it will install by itself, make sure you allow it to do...

See More

Playing Midi Files

The New Midi Player is much better, but needs your permission to show you its super abilities. When you open a song, which has a midi file you'll see on top or bottom of your browser a message. This is java, which is the technology running the Midi Player. To play midi files, you simply need...

See More

How to Upload a Song on the New Swahili Music Notes

So, with the new Swahili Music Notes, it could be overwhelming. There's one more thing that you should know about:THE DASHBOARDFor all registered users, you can use the Dashboard to:  Upload a new song View all the songs you uploaded (Reviewed and Not Reviewed) Change the midi or pdf of a...

See More

New Swahili Music Notes Features

The New Swahili Music Notes many great new features:The New Logo:Finally the site has it's own logo. The New Logo was specifically made for Swahili Music Notes to help identify it easily.The New Home Page:The List of songs on Swahili Music Notes was getting long. A new organization was required to...

See More

The Whole New Swahili Music Notes

Swahili Music Notes has a new look. There are so many new features that will hopefully make the site more user-friendly. Stay Tuned for a list of new features.

See More